Msanii wa filamu bongo mlimbwende Irene Uwoya, amemchimba mkwara mume wake ambaye pia ni msanii wa bongo fleva Dogo Janja, iwapo atafanya jambo na wanawake wengi huwa hawalipendi.
Kwenye ukurasa wake wa instagram, Irene uwoya amepost picha ya dogo ikiwa na caption kuwa msanii huyo huenda akaoa mke wa pili, na kuandika ujumbe ambao unaonyesha hakutakuwa na amani baina ya waili hao.
“Ndo utajua mimi Kabila gani...thubutu uwone tena wasikudanganye Dogo Janja”, ameandika Irene Uwoya.
Baada ya mkwara huo watu walionesha kmshangaa Uwoya kwa uamuzi huo, wakisema kwamba hakupaswa kusema hivyo kwani dini inamruhusu Dogo Janja kufanya hivyo.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment