BEYONCE AFUNGUKA KUZISAIDIA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 22 March 2018

BEYONCE AFUNGUKA KUZISAIDIA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI.

Mwanamuziki Beyonce atangaza kusaidia nchi za Afrika mashariki kupata maji safi na salama.

Mwanamuziki huyo mwenye heshima kubwa duniani amesema anashirikiana na kampuni ya mavazi ya #Gucci kwenye kuhakikisha miradi ya maji na salama inafika katika nchi hizo, ili kuondoa tatizo hilo ambalo linadaiwa kuwa kero hususani kwa wakina Mama na Watoto ambao huwalazimika kwenda umbali mrefu kutafuta maji.

Mradi huo unatarajia kugarimu zaidi ya Dola Million 1 na kwa kuanzia ataanza na nchi ya Burundi na kisha kuzifikia nchi zingine ikiwemo Tanzania na Rwanda.


No comments:

Post a Comment