Ratiba ya mazishi ya Baba yetu mpendwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(Baba Kinje)
Jumapili tarehe 4/2/2018
- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.
-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha)
Jumatatu tarehe 5/2/2018
- Saa 1:00 asubuhi mpaka saa 2:00 asubuhi waombolezaji kuwasili nyumbani Kwa ajili ya kuanza taratibu za mazishi.
- Saa 2:00 asubuhi mpaka saa 3:30 asubuhi Kupata kifungua kinywa/Chai Kwa waombolezaji wote
- Saa 4:00 asubuhi mpaka saa 5:00 misa nyumbani Kwa marehemu
- Saa 6:00 mwili kuwasili karemjee halll Kwa kuagwa
- Saa 6:00 mchana 9;00 kuaga mwili wa marehemu
- Saa 9:00 aalasiri mpaka 9:30 kuelekea makaburini kinondoni
- Saa 9:30 mpaka 11:30 maziko
- Saa 11:30 jioni 12:30 kuelekea nyumbani Kwa chakula cha jioni.
waombolezaji wote
1:30 usiku mpaka. 2:45 chakula cha usiku waombolezaji wote
3:00 usiku- waombolezaji wote hitimisho la shughuli ya Mzee wetu
Tunawashukuru sana Kwa ushiriki wenu wa Hali na mali katika wakati huu mgumu
Mungu awazidishie
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Omary A kimbau( Mwenyekiti wa kamati ya mazishi)
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment