Bado headlines za mahusiano ya Diamond Platnumz kuyumba zinazidi kuchukua headlines kila kukicha, hii ni baada ya mfululizo wa matukio ya Diamond yanayodaiwa kuwa hayampendeza Zari hususani ukaribu wake na Wema Sepetu uliyorudi hivi karibuni na ndugu wa Diamond kuonekana wapo karibu na Wema, kitendo hicho kinadaiwa kuwa kimemkera Zari na kuamua kuwa unfollow Diamond Platnumz, mama yake na ndugu wengine .
Imefikia hatua hata kwenye birthday ya Esma Platinum Zari hakumpost tofauti na kipindi cha Mara ya kwanza ilivo kuwa upendo wa zari na familia ya Diamond Platinum.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment