Msanii wa Kenya amtokea Zari.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 21 February 2018

Msanii wa Kenya amtokea Zari..

 Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Ringtone Apoko ameweka wasi mipango yake ya kutoka kuwa katika mahusiano na Zari The Boss Lady.

Maamuzi ya msanii huyo yanakuja ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Zari kutangaza kuachana na Diamond. Kupitia mtandao wa Instagram Ringtone Apoko ameeleza kuwa Diamond hawezi kumuhudumia Zari kwani mrembo huyo anamuhitaji mtu kama yeye.

“Zari Hassan needs a man to lead her to church and to Christ. Diamond can’t offer such. Naomba namba yake Zari inbox me asap if you have it. MWANAMME NI YULE ANAJUA YESU NA MALI ANAYO NA WAKO WENGI HAPA KENYA. By the way wakisii hawananga shida bibi akija na watoto” ameandika.

No comments:

Post a Comment