Ruby:nilimpatia tu nafasi Nandy ila haniwezi - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday 9 January 2018

Ruby:nilimpatia tu nafasi Nandy ila haniwezi

Msaniiwa kizazi kipya ambaye kwa sasa amerudi na ngoma aliyoipa jina 'AreU Ready' amejibu swali la wapenzi wengi wa burudani kwamba aliamua kuwa kimya kwa muda mrefu ili kumpatia nafasi msanii mwenzake Nandy nasiyo kwamba alikuwa akimuogopa.

Akizungumza Ruby amesema kwamba ujiowa Nandy haukumpa Stress kwani anaamini msanii huyo ni mzuri na alikuwa akihitaji kusikika ndiyo maana hakutaka kukurupuka ili aanze kushindanishwa..

AidhaRubyameongeza kwamba anaaminikuwa Nandyanafanyaaina muziki aliokuwaakifanya(Zouk) ndiyo maana hatawatuwanadiriki kusema kwamba alikuja kuziba nafasi yake katikamuziki nakuongezakwamba tofautiyaoipo kwenye'TONE' na 'SKALES'ndiyomaana aliamua kutulia ili kutafutanjianyingineili wasishindanishwe.

Pamojanahayo Rubyamedai kwamba hapendikushindanishwanamtu yeyote nakwambayeye katika maisha yake amezoea kujishindanisha mwenyewe.

Mbali nahayo Rubyameongeza kwambakatika ukimyawake jambo lilokuwalikimuumiza sanani jinsi ambavyo mashabikizake walikuwa wakilalamikakwamba wamemmiss haliiliyokuwa inamfanya awe mnyonge na kushindwa chakufanya.

No comments:

Post a Comment