Nsajigwa "Yanga hii tamu sana" - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 6 January 2018

Nsajigwa "Yanga hii tamu sana"

KIWANGO ambacho kinaonyeshwana kikosi cha Yanga kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, kimemvutia kocha wao, ShadrackNsajigwa ‘Fuso’. Nsajigwa ambaye anaiongoza Yanga katika michuanohiyo inayoendelea KisiwaniZanzibarkutokana namkuu wake, George Lwandaminakubaki kwao Zambiakutokana na matatizo ya kifamilia. Kochahuyo na mchezaji wa zamani wa Yanga naTaifa Starsamesema, licha ya ratiba ya mashindanohayo kuwabana, vijana wake wameonyesha kiwango kizurina chakuvutia. “Ratiba ningumu tunacheza mechimfululizo, lakini tumejipangakufanyavizuri msimuhuu nanguvuzetu tumewekeza katika mechi ya nusufainali kabla ya kuanzakuifikiria fainali,” anasema Nsajigwa. Yanga tayari imefudhu hatua ya nusufainali kutoka kwenye kundi B pamoja na Singida Unitedzote kutoka Tanzania Bara. Timu hizo zitacheza mechi ya nusu fainali Alhamisi ijayo.

No comments:

Post a Comment