Brown afunguka sababu ya kumtema Wolper - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 7 January 2018

Brown afunguka sababu ya kumtema Wolper

Brown amefunguka na kuweka wazi sababu ambayo imepelekea yeye kuachana na msanii wa filamu nchini Jackline Wolper na kusema yeye ndiye alimkosea binti huyo na kila alipoomba msamaha hakutaka kumuelewa.

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) Brown anasema kuwa yeye na Wolper walikuwa na ugomvi kati yao ambao ulisababishwa na yeye mwenyewe na kudai kila alipojaribu kumuomba msahama hakutaka kumuelewa akaamua kusonga mbele na kumuacha.

No comments:

Post a Comment