Droo ya raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho laAzam (ASFC) inachezeshwa kesho Januari 5, 2018 ikishirikisha timu 32.
Raundihiyo ya tatu itahusisha timu nne za mabingwa wa mikoa, tatuza Ligi Daraja laPili, 12 za Ligi Daraja laKwanza na 13 za Ligi Kuu.
Hatuahiyo ya raundi ya tatuinabakiza timu 16, zitakazopambanakwenye hatua inayofuata.
Timu za Ligi Kuu zilioingia hatua hiyo ya raundi ya tatu niAzamFC, Yanga, Mtibwa Sugar, Mbao FC, Majimaji, KageraSugar, Mwadui, Stand United, Ruvu Shooting, Njombe Mji, Singida United, Ndanda ya MtwaranaTanzania Prisons.
No comments:
Post a Comment