Mke wamwanasiasa mkongwenchini, Kingunge NgombaleMwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leoAlhamisi katikaHospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mtotowa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha taarifahizonakwamba kifochamama yake kimetokeawakati baba yake pia ni mgonjwa.
"Ni kwelimamaamefariki nababa amelala kwasababu ndiokwanza ametoka chumba cha upasuaji aling'atwa nambwa.
Tutamwambia akiamka," amesema
No comments:
Post a Comment