Yanga hawa achi kitu Zenji - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday 7 January 2018

Yanga hawa achi kitu Zenji

YANGA imeshafuzu hatua ya nusufainali ya Kombe la Mapinduzi sambamba na Singida nakwa sasa inapiga hesabu kutakakujua tu itakutanana timu ipi katika hatua hiyo itakayoanza Jumatano, lakini benchila ufundi limesisitizahaliachi kitu.

Yanga usikuwa leo itashuka uwanjanikuvaana na Zimamoto katikapambano pekeeya michuano hiyo na linaloonekana kama la kukamilisharatiba ya Kundi A, lakini Kocha Msaidiziwa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa lisisitiza hawauchukulii poa kabisa mchezohuo.

Nsajigwa alisemawanataka kuondokanataji hilo visiwaniZanzibarikiwa ni baadaya kutwaa mara ya mwisho taji hilo miaka10 iliyopita.

Yanga imeshinda mechizote tatukatika mashindanohayo ikizifunga Mlandege 2-1, JKU1-0 nakisha Taifa Jang’ombe 2-0, lakini Nsajigwa alisemasafarihii hawataki kufanyamzaha tenakama misimu iliyopita nakupishanana taji hilo la Mapinduzi.

Nsajigwa ndiye aliyeisimamia timu katika mechihizo baada ya bosi wake, George Lwandamina kupatwa namsiba wa mwanaye akiwa mapumzikonikwao Zambia nahivyo kukawia kurejea. Hatahivyo Mzambia huyo alitarajiwakutua jana.

Beki huyo wa zamani wa Yanga naTaifa Starsalisema kwa jinsi kikosi chake kilivyocheza katika mechiza mwanzo, hawana sababu ya kushindwakuchukua ubingwahuo ingawa si jamborahisi pia.

“Ratiba inatubanakwa kuchezamfululizo lakini tunataka kupigahatua msimuhuu kwa kucheza fainali nakuchukua ubingwa huuingawa kwa sasa nguvu yetu kubwatumewekeza katikahatua ya nusufainali kwanza,” alisema.

Alisema mchezowao wa leo dhidi ya Zimamoto ni sehemu ya kuendelea kuwapanafasi vijanawake kuonyesha uwezokabla ya kurejeakwenye Ligi Kuu wakiwa kamili nakulitetea taji lao kwa mara ya nne mfululizo.

Zimamoto iliyocheza mechi nneikiwa naalama tatutu, ilihali Yanga baadaya mechi ya leo, itarudi uwanjanitena keshoJumatatu kuvaana na vinara wa kundi lao Singida Unitediliyokuwa ikikwaruzana naJKU jioni ya jana.

No comments:

Post a Comment