Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna waliosahaulika majini.
Hizi ni taarifa za awali fuatilia Habari zetu kufahamu zaidi
Erick Picson Media ni Blog ya kitanzania iliyosheheni Mkusanyiko wa Habari Mbalimbali, sambamba na Matukio yanayojiri kila pande za Dunia. Usisahau Hapa ndio kisima cha Habari za Michezo na Burudani
No comments:
Post a Comment