WOLPER AMPA DONGO ZITO HARMONIZE (TAPELI) - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday 5 June 2018

WOLPER AMPA DONGO ZITO HARMONIZE (TAPELI)

Baada ya muda mfupi Harmonize kusema wolper atakuwepo kwenye show yake, Mrembo Huyo ambaye ni Ex wake kwa sasa ameibuka na kutoa povu zito
TANGAZO!! TANGAZO!!TANGAZO!!!..
NAOMBENI MTAMBUE KUWA SIPO TANZANIA NA SITOKUWEPO KWENYE SHOW YOYOTE.. IWE YA MBAGALA IWE YA POSTA MIMI KAMA WOLPER SIHUSIKII,
YOTE MNAYOYASIKIA WANAYASEMA NI YA UONGO WANATAKA KUWATAPELI 
SITAKI MTU ATUMIE JINA LANGU KUVUTA WATU. 
EPUKA MATAPELI
ASANTENI SANA.... #EPUKAMATAPELISUGU
#ACHENIKUTUMIAJINALANGUKUVUTAWATU
#SIPOTANZANIANASIRUDIMPAKAJULY🙏.NAWAPENDA SANA MASHABIKI ZANGU WOTE.

No comments:

Post a Comment