HATIMAYE MAHAKAMA IMEAMUA DIAMOND AMUOE ZARI. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday, 4 June 2018

HATIMAYE MAHAKAMA IMEAMUA DIAMOND AMUOE ZARI.

Wakati ngoma ya Mbongo Fleva, Diamond Platnumz ft Rayvanny inayoitwa Iyena ikiendelea kufanya vizuri huku ikiwa imeambatana na vituko lukuki vinavyohusisha familia yake akiwemo Mama yake mzazi, Dada yake Esma na wanawake zake, Zari, Wema na Hamisa Mobeto.

Baada ya chombo makni kimeamua kutinga mtaani na kuzungumza na ‘Mahakama ya Wananchi’ ili wamalize utata kati ya Zari, Wema na Mobeto nani anastahili kuwa mke halali wa Diamond.

Asilimia kubwa ya mashabiki wameonekana kupenda zaidi, Zari aolewe na mwanamuziki huyo ambaye amezaa nae watoto wawili.

No comments:

Post a Comment