UNDANI WA BIFU LA SNURA NA SHILOLE HUU HAPA.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 20 May 2018

UNDANI WA BIFU LA SNURA NA SHILOLE HUU HAPA..

Msanii wa muziki Bongo, Snura Mushi amefunguka kuhusu taarifa zinazodai kuwa bifu lake na Shilole bado lipo.
Muimbaji huyo amesema hakuna kitu kama hicho hata tuzo ambayo Aunt Ezekiel alitoa kwa Shilole wakati wa uzinduzi wa Filamu yake ‘Mama’ yeye ndiye alipokea.
“Sina beef hadi juzi kwa Aunt mimi sindonimempokelea zawadi, yeah, hatuna bifu na nimempelekea,” alisema Snura
Snura kwa sasa anatamba na ngoma ‘Vumbi la Mguu’ baada ya kufunika na Zungusha ambayo alimshirikisha Christian Bella.

No comments:

Post a Comment