SHILOLE : KATIKA MFUNGO NAONA RAHA NDANI YA NDOA YANGU. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 22 May 2018

SHILOLE : KATIKA MFUNGO NAONA RAHA NDANI YA NDOA YANGU.

WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amechekelea mfungo huo ulivyo wa tofauti na miaka mingine kwake kwani yupo ndani ya ndoa.
Shilole alizungumza kwamba, katika mfungo wa mwaka huu, anaona raha mno kwani ndiyo kwa mara ya kwanza umemkuta ndani ya ndoa na amekuwa akifunga na kufanya dua na mumewe, Ashraf Uchebe tofauti na miaka mingine ambayo alikuwa hajaolewa, alikuwa akilegalega kufanya sala na kufunga.
“Huu ni mfungo wa kipekee kwangu kwani ndiyo kwanza umenikuta ndani ya ndoa, kiukweli ninajisikia raha mno ambayo sikuwahi kuipata awali,” alisema Shilole au Shishi Baby

No comments:

Post a Comment