AMBER LULU : KISA POMBE NILILALA NA SHEMEJI YANGU - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 2 May 2018

AMBER LULU : KISA POMBE NILILALA NA SHEMEJI YANGU

Kisa Pombe! Amba Lulu ajutia 'Kulala’ na shemeji yake. ‘’Daah! kiukweli sikutegemea ila ni pombe tu, unajua ilikuwaje? Tulitoka ‘out’ na rafiki yangu sana sasa kule tulikunywa sana pombe, baadae rafiki yangu aliniaga akaniambia anatuacha na mpenzi wake (shemeji yangu) aliniamini hakuwa na shaka, huwezi amini asubuhi nilijikuta nimeamka nae, sijui ilikuwaje ghafla rafiki yangu alifungua mlango akatukuta ilikuwa ni balaa, ugomvi ulikuwa mkubwa hakutaka kunielewa, tangu siku hiyo urafiki ulikufa, ila sitaisahau siku ile’’ @amber___lulu

No comments:

Post a Comment