RAPA CARD B ATANGAZA KUNASA UJAUZITO.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 8 April 2018

RAPA CARD B ATANGAZA KUNASA UJAUZITO..

Rapa Cardi B ametangaza rasmi kuwa ni mjamzito na anategemea kupata mtoto wake wa kwanza na mchumba wake OFFSET wa kundi la MIGOS. . .
.
OffSet tayari ni baba wa watoto watatu na wanawake tofauti, watoto wawili wa kiume Jordan na Kody, mmoja wa kike Kalea Marie.

No comments:

Post a Comment