Mahakama ya Kisutu imetoa masharti ya dhamana kwa viongozi 6 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe, wawe na wadhamini wawili watakao saini Bondi ya sh.Mil 20.
Baada ya kutimizwa masharti hayo Mbowe na wenzake wawe wanariport central Police kila Alhamisi .
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment