Aunty Ezekiel afunguka haya kuhusu mume wake mose Iyobo kuwashambulia Shilawadu.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 3 February 2018

Aunty Ezekiel afunguka haya kuhusu mume wake mose Iyobo kuwashambulia Shilawadu..

Baada ya shilawadu, kunusurka kugongwa na gari ya mose iyobo na kuharibu mali ikiwemo, gari na kamera aunty ezekiel apiga simu na kuomba msamaha shilawadu pamoja na kutaka kuwa wavumilivu akirudi wayamalize .

Headline ambayo ilisambaa kipindi kifupi kilicho pita ni kwamba mume wa Aunty Ezekiel,Mose Iyobo kuwashambulia watu wa clouds ambao wana husika na kipindi cha Shilawadu.Aunty Ezekiel amefunguka hayo baada ya tetesi hizo.

No comments:

Post a Comment