Album ya Diamond Platinum "A BOY FROM TANDALE.." kutoka rasmi wiki ijayo. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday, 26 February 2018

Album ya Diamond Platinum "A BOY FROM TANDALE.." kutoka rasmi wiki ijayo.

 Hayawi hayawi sasa yamekuwa hatimaye albamu ya Diamond Platnumz ya ‘A Boy From Tandale’ yenye ngoma takribani 20 kutua mwezo ujao.

Albamu hiyo inatarajiwa kutua rasmi mwezi ujao tarehe 16 huku ikiwa na hit kibao kama , ‘Hallelujah’ aliyoshirikisha Morgan Heritage’,‘Waka Waka’ aliyomshirikisha Rick Ross, ‘Marry You’ aliyomshirikisha Ne-Yo , ‘African Beuty’ aliyomshirikisha Omarion pamoja na ngoma zingine alizofanya mwenyewe kama ‘ Sikomi’ pamoja na zinginezo kutoka kwa wasanii kutoka Afrika.

Kwa mujibu wa meneja wa msanii huyo Sallam SK, kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameweka rasmi tarehe hiyo huku akiujuza uma kuwa kwa sasa unaweza kutoa Pre-Order albamu hiyo.

No comments:

Post a Comment