Msaniiwa muziki Bongo, Ray C ametoa ombi kwa Rais Dkt. John Magufuli kuhusu wanawakekuolewa.
Muimbajihuyo amependekeza kuwa kusiweponamahusiano kati yamwanamke na mwanaumehadi ndoa ili wanawakewengi waweze kuolewa. Kupitia Instagram yake ameandika;
Mzee minashida Moja! hawawanaume hapanchini wanajifanya wajuajiSana! Ombi langula mwakahuu kwako nihili!Naomba upitishe sheriakamayaSultan QabooswaOman!Hakuna mahusiano yaKimapenzi kati yamwanamkenamwanaume mpaka wafunge ndoa!
Na yeyoteatakaekutwana mwanamke iwe hotelini! Guest housebilaCheticha ndoawapelekwewote segerea!Nadhani itasaidia sanawanawake wengi kuolewa badala ya kuwa manungaembe!Utakuwa umewanyoosha kisawasawa hawaWanaumezetu Tutaheshimiana!
July mwaka jana Ray C alikaririwanakipindi chaFNL chaEATV akisemahayupo katikamahusiano namtu yeyote kwani ameshapotezamuda katikamambo hayo hivyo hawezi kumpatia mtunafasi hiyotena kwani akili yake kwa sasa ameielekeza kwenye kazi.
No comments:
Post a Comment