Mfahamu msanii wa kwanza Africa wa Hip/Hop anaye miliki ndege binafsi - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 7 January 2018

Mfahamu msanii wa kwanza Africa wa Hip/Hop anaye miliki ndege binafsi

Msanii maarufu kutoka Afrika Kusini Cassper Nyovest ametajwa kuwa msanii wa kwanza wa Rap/HipHop Africa kumiliki ndege yake binafsi.

Cassper amekuwa akiweka rekodi kwa kujaza watu kwenye show zake za muziki katika viwanja vikubwa nje na ndani ya Afrika Kusini toka mwaka 2016 na 2017, mpaka sasa imeripotiwa kuwa Cassper ameuza zaidi ya kopi milioni 10 za album zake.

Mwaka 2018 umeanza vizuri kwa Cassper Nyovest

No comments:

Post a Comment