MASHABIKIwa Yanga bado wana shaka nanguvu ya benchilao la ufundi chini ya makocha wasaidizi, ShadrackNsajigwa na Noel Mwandila, hasa kutokanana uwezekano wa kukutana na watanizao Simbakwenye nusufainali ya Kombe la Mapinduzi, lakini kocha wao Mzambia, George Lwadamina ameshusha presha.
Lwandaminayupo kwao Zambiaalipokwenda kumzikamwanaye, Mofya aliyefarikidunia mwezi uliopita, lakiniatarejea nchini usiku wa kesho Jumamosikisha kwenda Zanzibarkuongeza nguvu kwenye kombe la Mapinduzi ambalo bingwamtetezi wake niAzam.
Yanga imekuwa nawakati mgumumbeleya Simba hasawakati wapinzaniwao hao walipokuwa wakinolewa naMkameruni, Joseph Omog ambaye alisitishiwa mkatabawake mwezi uliopita baadaya kuvuliwa ubingwawa FA na timu dhaifu ya Green Warriors.
Katika kipindicha Omog, Simbailiifunga Yanga mara mojakatika Ligi Kuu na kuishindakwa mikwaju ya penalti kwenye Mapinduzi Cup naNgao ya Hisani mwaka jana, hukumichezo mingine miwili ikimalizika kwa sare jamboambalo Lwandaminahataki litokee tenanandiyo sababu amechukuauamuzi wa kutua nchini fasta.
Kwa namna hesabu za Mapinduzi zilivyokaa, Simba naYanga zinaweza kukutana nusufainali ama fainali, lakinidili hilo huenda likatibuliwa na Azamna Singida Unitedambazo zinaonekanakuwa na ushindani mkubwa katika mashindanohayo.
KamaYanga itamaliza juu kwenye kundi lake na Simbakumaliza nafasiya pili, wababehao watakutana nusufainali lakini mambo yakiwatofauti itabidi wapambane iliwakutane fainali.
Katika mechitatuza mashindanoambazo Lwandaminaamezikosa, Yanga imepotezamabao 2-0 kwa Mbao FC, lakini imeshinda kwa idadi kama hiyo dhidi ya Reha na kuifunga Mlandege2-1.
Taarifaza uhakika ambazo Mwanaspoti imezipata kutokandani ya Yanga ni kwamba Lwandamina ambaye alirudi kwao Zambiakwa ruhusa maalumu kisha kukutana na msibawa mwanaye wa kiume Mofya, anatuanchini keshousiku.
Lwandaminaatakutana na uongozi wa klabu hiyo kabla ya kwendaZanzibar ambako atakutakikosi chake kimebakisha mchezodhidi ya Singida United utakaopigwa siku ya Jumatatuikiwa niwa mwisho wa hatua ya makundi nautakaoamua kamawanakutana naSimba aula.
Wakatihuo huo, leo Ijumaa Shirikisho laSokaTanzania (TFF) litachezeshadroo ya Kombe la FA kubaini timu zitakazokutana kwenye raundi ya tatu ya michuano hiyo. Timu 13 za Ligi Kuu isipokuwa timu zilizotolewa ambazoniMbeya City, SimbanaLipuli zitashiriki katikadroo hiyo.
NSAJIGWA AFUNGUKA
Katika hatua nyingine, Nsajigwa ameliambia Mwanaspoti kuwa ataendelea kumpa nafasi kipa chipukizi, Ramadhani Kabwilikatika mechihizo za Mapinduzi ilikumjenga kiushindani.
Nsajigwa alisemakipa huyo nimzuri lakini alikuwa hapatinafasi ya kucheza mara kwa mara hivyo sasa niwakati wake kujituma na kutengenezajina.
KABWILI ALIDAKA KWENYE MCHEZO WA KWANZA DHIDI YA MLANDEG E.
“Alicheza vizuri katika mechiya kwanza, tutampa nafasiiliaendelee kuonyesha kilealichonacho. Hii nimichuano yenye mechinyingi, hivyo kila mmojaanaweza kucheza,” alisema.
No comments:
Post a Comment