Mastaa pasua vichwa mtandaoni hawa hapa - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 3 January 2018

Mastaa pasua vichwa mtandaoni hawa hapa

KILAkukichamaisha yanabadilika na kuwa magumuhivyohata katika ulimwengu wamastaa wamekuwawakibuni mbinu mbalimbali kwa kile wanachodaini kurahisisha maisha yao.

Sanaakwa sasa ningumu iwe nimuziki aufilamu ambapo mastaawengi wakike wamekuwawakiitumia mitandao ya kijamii kwa kujipiga picha za vituko mbalimbali huku wengine wakiwa nusu utupu ili tu kuongezawafuasi wengi kwenyemitandao pamoja na kupata fursa mbalimbali za kaziza shoo aunyinginezo.

Wapo ambao wamekuwa wakifanyahivyo ili wapate mabwana kwani wanajikuta wakiitumia miili yao kama biasharaambapo wapo wanaofanikiwa kupata wanaume wamaana wa kuwasaidia maisha lakini wenginehuishia kutumiwa na kuachwa.

Jacqueline Wolper Katika makalahaya leo tunakuleteaorodha ya mastaa ambao ni pasua kichwa mitandaonikutokananavituko vyao ambapo lengo lao hasa halijulikani moja kwamoja ni nini licha ya wenginekudai ni kwaajili ya kuongeza wafuasi wengi kwenyekurasazao kwani wakishawapata ni rahisi kutangaza kazi zao.

FAIDHA OMARY Kwa jina la kisanii anatambulika kama Sister Fay ambaye nimsanii wamuziki wakizazi kipya. Mwanamama huyu kwa sasa anaongoza kwavituko mitandaonihasa Instagram kwani amekuwa akijirekodiakiwa amevaa taulo auakikatamauno ya aibu kitu ambacho kinawashangaza wengi kwani zamani hakuwa hivyo. Mwanamama huyu amewahi kukirikwamba kukata kwake maunokihasara nakukaa nusu utupu mitandaoni kumempa faidakwani amekuwaakipata shoo na mialiko mbalimbali nje ya nchi.

LULU SEMAGONGO Msaniihuyu maarufukwa jina laAunty Lulu haishiwi matukiokwani kwahivi sasa amekuwaakijipiga picha umbo lake nakutupia mitandaoni kuonyeshamakalio yake. Aunty Lulu amekuwaakifanya hivyohuku akiandika maneno ya kujisifia alivyohuku wafuasiwake wakimpongeza nabaadhi yaokumshangaa na kumpamaneno makali kwamba inakuwajeanalinadi umbo lake mitandaoninaana lengogani.

JACQUELINEWOLPER Mwanadadahuyu anaongoza kwakuwa gumzo mitandaoni hasa kwa skendo yake ya kubadili wanaume. Wolper kila anapokuwakwenyeuhusiano amekuwaakiwaanikawapenzi wake mudamwingine wakiwa pamojachumbani lakini anadumunao kwamuda mfupi nakuachana.

Kwa sasa Wolper baadaya kuachana nakibentenichake, Brown siku chachetu alitangaza mitandaoni kwamba anaolewa naanaenda kutolewa mahari kwa bibi yake hukoMoshi jambo ambalobaadhi ya watu walilipinga kwani mwanaume mwenyewehajulikani ni nani nakwamba ni mapema sana kwani ni siku chache tu ametangazakuachana na mpenzi wakeBrown kablaya kutangaza kwamba anaolewa hivikaribuni.

SashaKasim. SASHAKASIM Sasha ambaye ni muuza sura kwenyevideo za wasanii wa muzikiwa Bongo Fleva amekuwaakitupia video na picha za nusu utupuhuku akikatamauno ambapo kutokananaumbo lake yaani makaliomakubwaimekuwa ni aibu kwa baadhi ya watu na kusema kwamba anatangaza biasharaya kuuza mwili huku wenginehasa wanaume wakwarewakifurahia.
Mwanamuziki huyu wa Bongo Fleva, Amber Lulu. FAIZAALLY Msaniihuyu wafilamu ni mama wawatoto wawililakini katikamitandao ya kijamii amekuwagumzo kutokana na jinsi anavyopenda kuvaa nusu utupupia hivikaribuni alijikuta mikononimwa polisi kutokananakuposti picha akiwa anajifungua.
Faiza maisha yake amekuwa akiishi Kizungu zaidi kwani anapenda kuweka wazi kila kitumitandaonipia kingine amekuwaakimshambulia kila wakatibaba wamtoto wake ambaye nimbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ hali ambayo imemfanyaFaiza kuwa gumzo sana kwenye mitandao kutokanana vituko vyake hivyo.
AMBERLULU Mwanamuzikihuyu wa Bongo Flevaamekuwaakichafua hali ya hewa katika mitandao ya kijamiikwa kuposti picha mbalimbali za nusu utupu bila kujali kwamba yeye ni kioo cha jamii au laa.
Kunawakatialipiga picha akiwa nusu utupu namsanii mwenzake YoungD na kuwashangaza watu kwani kwautamaduni Tanzania hiyo haikubaliki.
JANERIMOY Huyuyeye ni modo, licha ya serikali kuzuia picha za utupu, yeye ameendelea kuziposti hata baadaya Rais Dk John Pombe Magufuli kuzitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua. Mrembo huyu maarufu kwa jina la Sanchi,amekuwa akiwekapicha zakeza utupu nakuonesha umbo huku akiwa maarufu zaidi kutokana na kalio lake kubwa.

No comments:

Post a Comment