MABAO YA NEYMAR,CAVANI YAMEMFUKUZISHA KAZI KOCHA CARLO ANCELOTTI - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 28 September 2017

MABAO YA NEYMAR,CAVANI YAMEMFUKUZISHA KAZI KOCHA CARLO ANCELOTTI

Kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa PSG, kimemponza kocha Carlo Ancelotti, ametimuliwa kazi Bayern Munich.

PSG iliitwanga Bayern kwa mabao 3-0, Neymar, Dani Alves na Cavani kila mmoja akipachika bao.

No comments:

Post a Comment