DIAMOND PLATINUMZ AMEKANUSHA KUWA HAJAMPA MIMBA HAMISA MOBETO. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 22 June 2017

DIAMOND PLATINUMZ AMEKANUSHA KUWA HAJAMPA MIMBA HAMISA MOBETO.

Mwanamuziki Diamond Platinum ambaye amekuwa aki wakilisha Tanzania kwa muziki mzuri na hivi karibuni ametoa nyimbo zake mbili mfululizo,kabla ya hapo kulikuwa na tetesi zinazo mzunguka eti amempa ujauzito mwanamitindo maarufu Tanzania Hamisa Mobeto.
Diamond amekanusha kwamba hajawahi kuwa na mahusiano na staa huyu.
“Mimi sijawahi kuwa na mahusiano naye hizi ni story tu,toka nimeshoot na Hamisa
Mobeto wimbo wangu wa Salome watu wamekuwa wakituhusisha pamoja.
Ujauzito wa Hamisa sio wangu, jamani mwenye mimba si ajitokeze si unajua hata mtu wake atakuwa anajisikia vibaya”.
Ni maneno ya Diamond Platinumz.
Kwa story za kijanja ndani na njee ya Tanzania hapahapa cha msingi endelea kuwa na mimi katika mitandao ya kijamii
lnstagram,Facebook pamoja na twitter@erickpicson.

No comments:

Post a Comment