AT KAJIBU SWALI JE DIAMOND PLATINUM AKITAKA KUMSAJILI WCB ITAKUAJE. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday 21 June 2017

AT KAJIBU SWALI JE DIAMOND PLATINUM AKITAKA KUMSAJILI WCB ITAKUAJE.

Intro.
Wiki chache zilizopita mwanamuziki AT alitoa nyimbo yake mpya inayo julikana kama melod iliyokuwa ikiongelea ishu ya DiamondPlatinum na Alikiba kama kuna bifu fulani hivi na ikaoneka AT ni shabiki mkubwa sana wa Alikiba.
Swali likaja je Diamond akitaka kumsajili AT katika umoja wa WCB atafanyaje story nzima imekaa hivi;
AT amezungumza katika moja ya media kubwa Tanzania kwamba yeye ikitokea nafasi kama hiyo kwake ni jambo la muhimu na hawezi kugoma kufanya kazi WCB kwani atakuwa katika management
ambayo ina misingi yake ya ufanyaji wa kazi na pia yeye ataweka misingi yake  kama itakubaliwa basi yupo tayari kufanya kazi.
Licha ya hilo hata akiwa katika umoja huo bado atabaki kuwa mshabiki wa Alikiba kwani bifu haiwezi kumfanya mtu ashindwe kufanya kazi.
Patamu hapo kwa story kama hizi zaidi endelea kutembelea katika mitandao yangu ya kijamii @erickpicson Instagram,Facebook pamoja na twitter.

No comments:

Post a Comment