WALTER CHILAMBO KUZINDUA ALBUM YAKE KWA MARA YA KWANZA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 2 June 2018

WALTER CHILAMBO KUZINDUA ALBUM YAKE KWA MARA YA KWANZA.

Muimbaji wa Gospel Walter Chilambo siku ya Leo anatarajia kuzindua album yake ya kwanza toka aanze muziki huo .

Album hiyo iitwayo Asante itazinduliwa katika ukumbi wa CCC upanga Dar es saalam. Huku akisindikizwa na waimbaji kama Ambwene Mwasongwe, Christopher Mhangila ,Dk Ipyana Kibona na Samuel Kulola.

No comments:

Post a Comment