NILIZIMIA BAADA YA KUAMBIWA VIDEO YANGU YA UTUPU INASAMBAA MITANDAONI : NANDY - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday 5 May 2018

NILIZIMIA BAADA YA KUAMBIWA VIDEO YANGU YA UTUPU INASAMBAA MITANDAONI : NANDY

"Kiukweli nilistushwa na simu nilizokuwa napigiwa, sikujua ni kitu gani lakini baadae nilipojua ukweli, nilizimia kwa mujibu wa meneja, lakini mimi sikujua kama nilizimia, nilichanganyikiwa sana, hadi sasa sijajua ni nani aliisambaza ile video na alikuwa na nia gani" Nandy 

No comments:

Post a Comment