NANDY : MIMI NA ASLAY NI MIONGONI MWA WASANII MATAJIRI TANZANIA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday 8 May 2018

NANDY : MIMI NA ASLAY NI MIONGONI MWA WASANII MATAJIRI TANZANIA.

Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.

Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne

Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa

Diamond

Alikiba

Prof JAY

AY

LADY JAYDEE

HARMONIZE

RAYVAN

MWANA FA

RICH MAVOKO

Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata

No comments:

Post a Comment