MASTAA WALIO HUDHURIA HARUSI YA PRINCE HARRY NA MEGHAN MARKLE(+PICHA). - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 20 May 2018

MASTAA WALIO HUDHURIA HARUSI YA PRINCE HARRY NA MEGHAN MARKLE(+PICHA).

Zaidi ya watu bilioni 1.8 duniani kote kwa siku ya jana Mei 20, 2018 walikuwa bize kufuatilia harusi ya kifalme ya Prince Harry na  mchumba wake Meghan Markle.
Prince Harry na Mkewe Meghan Markle
Ndoa hiyo iliyofungwa katika Kanisa la Mtakatifu George, lililopo katika viunga vya himaya ya Kifalme (Windsor Castle). Imehudhuriwa na maastaa kibao akiwemo David Beckham na mkewe, mchezaji wa tenisi Serena Williams na mumewe, Oprah Winfrey, muigizaji Pryanka Chopra na wengine kibao.



No comments:

Post a Comment