LULU ATOKA MAGEREZA - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday 14 May 2018

LULU ATOKA MAGEREZA

Muigizaji Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu amebadilishiwa adhabu na mahakama, na kupewa kifungo cha nje.
Jeshi la Magereza limethibitisha na kusema tayari muigizaji huyo yuko nje, na taarifa juu ya kubadilishiwa adhabu yake itatolewa rasmi muda si mrefu, ambayo itaeleza sababu za kufanya hivyo.

Muigizaji Elizabeth Michael alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela mnamo Nov 2017, kwa kosa la kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba,

No comments:

Post a Comment