CHEMICAL : " sijawahi kutumia kondomu Mimi" - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday 30 May 2018

CHEMICAL : " sijawahi kutumia kondomu Mimi"

Mwanamuziki anayefanya poa na ngoma zake , Chemical ameweka wazi kuwa yeye siyo muumini wa kutumia kinga (kondomu) ndiyo maana mara nyingi anapenda kuwa kwenye mahusiani na mtu ambaye ni muaminifu.
 Chemical amesema hayo wakati alipoulizwa  mara yake ya mwisho kutumia kinga.

"Mara ya mwisho kutumia kinga wakati nafanya mapenzi ni muda kidogo, ila kiukweli mimi sio shabiki wa kinga kabisa. Mambo ya kinga kinga mimi hapana ndiyo maana napenda sana kuwa na mtu aliyetulia. Chemical"
Pamoja na hayo Msanii ameweka wazi kwa sasa hayupo kwenye mahusiano na mtu yoyote kwa kuwa ameamua kuchagua kutengeneza maisha yake na kuhofia kuumizwa moyo wake.

No comments:

Post a Comment