Dunia imeshtushwa na picha Hii ya kuhuzunisha ya kijana wa miaka Minne (4) ,aliyekuwa akihama kutoka Syria kwenda Jordan. Maofisa wa UNHCR walikutana naye akitembea kwa miguu peke yake jangwani kutoka Syria akielekea Jordan.
Kitu pekee alichokuwa amebeba ni mfuko wa plastic, maarufu Kama Rambo, ambamo ndani yake Mlikuwa na nguo za marehemu mama yake na dadake ambao waliuawa Syria.
Maofisa hao wa UN Walishindwa kujizuia hisia zao na kuanza kulia... Ni huzuni kubwa sana... Kwa wenye watoto wanaelewa mtoto wa miaka 4 anakuwaje...
Sasa fikiria kitoto hicho kinatembea jangwani peke yake.. Eee Mungu tunaomba amani.
Vita visikie tu kwa jirani yako...
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment