Dares Salaam.Kiungo wa Mwadui FC, Awadhi Juma amesema licha ya mbio za ubingwa na zilezinazoshuka daraja badoni fumbo, ameitaja Simbakuwa kwenye kiwango tofauti na msimuuliopita.
Awadhi alisema namna wanavyocheza Simba, wakiongeza umakini nakulinda matokeo wanayokuwa wanapata, wanaweza wakawa namsimu mzurizaidi kuliko wengine.
"Siipendelei Simbakwa kuwa nimeichezea bali, inaonyesha kitu uwanjani, ingawahata Yanga kwa sasa wameanza kurejeakwenye makali yao."
"Kwa zile zinazotakakushuka huwezi kuingalia Majimaji ama Njombe Mji, kwa kuwa mkiani, upepo unaweza kubadilika kupitia mechi zilizosalia," alisema Juma.
No comments:
Post a Comment