BONDIA MANNY PACQUIOA AMEPOTEZA UBINGWA WA DUNIA WA WBO DHIDI YA JEFF HORN - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday 2 July 2017

BONDIA MANNY PACQUIOA AMEPOTEZA UBINGWA WA DUNIA WA WBO DHIDI YA JEFF HORN

Bondia Jeff Horn amechukua ubingwa wa dunia wa WBO welter weight baada ya kushinda pambano dhidi ya Manny Pacquioa lililo fanyika leo huko Brisbane Australia.
Jeff Horn ambaye ni raia wa Australia ameshinda pambano hilo kwa point 117-111, 115-113,115-113. Baada ya round 12.
Sasa pacquioa amepoteza mapambano 7 kati ya 68 aliyo pigana katika career yake na Jeff Horn ambaye ni mwalimu wa shule huko australia ameshinda mapambano 17 kati ya 18 aliyo wahi kupigana akitoka sare moja.
Jeff Horn kwa sasa anamtaka Floyd Mayweather baada ya ushindi dhidi ya Manny Pacquioa.
Usipitwe na story kama hizi endelea kutembea mitandao ya kijamii @erickpicson Instagram,Facebook pamoja na twitter.

No comments:

Post a Comment