MREMBO HUDDAH MONROE ANACHUKIA SANA TENDO LA NGONO NA MAHUSIANO. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 29 June 2017

MREMBO HUDDAH MONROE ANACHUKIA SANA TENDO LA NGONO NA MAHUSIANO.

Kila mtu ana mabaya na mazuri yake katika maisha. Mrembo Huddah Monroe ambaye anafahamika sana kwenye mitandao ya kijamii ameonyesha kujutia kuingia kwenye mahusiano.
Licha ya kuwa na mvuto hasa kwa wanaume mrembo huyo ameonyesha kuchukia maisha yake ya mahusiano na anaona ni bora asijiingize katika tendo la ngono na mtu yeyote kwa sababu wakiachana na mtu huyo huwa anajutia kuingia katika mahusiano.
Huddah amepost kupitia mtandao wa snapchat na kuelezea kuwa anakereka sana na kitendo hicho.
Kwa story zaidi tembelea Instagram,Facebook na twitter @erickpicson.

No comments:

Post a Comment