Moja kati ya story zinazo zidi ku trends na ku make headline katika mitandao ya kijamii ni ya msanii kutokea Tanzania ambaye aliienda kuwania tuzo za BET awards na si mwingine ni msanii kutokea WCB rayvanny.
Nidhamu,uvumilivu na utendaji mzuri wa kazi kumemfanya aweze kushinda tuzo ya Best viewer's choice na hii imepelekea Tanzania Kumpokea vizuri kwa kuipa heshima nchi yake na watu wake.
“God is good all the time asante mungu wangu ulieniumba unajua mwanzo na mwisho wangu uliyaona machozi yangu nilipo kuwa mpweke sina furaha na mwenye majonzi mengi wewe ndiye muweza. Asanteni wadau mlio vote kwa ajiri yangu ushindi umerudi nyumbani”.
Hayo ni maneno ya rayvanny baada ya ushindi alioupata katika shindano hilo.
Pia watanzania wengi wameonyesha upendo kwake na kufurahia ushindi huo hasa wasanii wenzake.
Kwa matukio ya picha zaidi yapo hapa chini.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment