TCRA yaonyesha sura ya tofauti kwa nyimbo zisizo kuwa na maadili Diamond, Roma na Nay wakiwemo.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 28 February 2018

TCRA yaonyesha sura ya tofauti kwa nyimbo zisizo kuwa na maadili Diamond, Roma na Nay wakiwemo..

 Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari huku ikisema hatua za kisheria kuchukuliwa kwa watakaokiuka.


No comments:

Post a Comment