Kikosi cha Manchester United ya Uingereza ikiongozwa na kocha wake Jose Mourinho kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki bila kabla ya kuanza msimu wa Ligi Kuu ya England 2017/8 dhidi ya LA Galaxy ya Marekani, mechi iliyochezwa katika Uwanja wa StubHub Center wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000 ambapo Romelu Lukaku alicheza mechi yake ya kwanza na kufunga bao katika mchezo ulioisha kwa Man United kushinda kwa mabao 5 -2.
Kwa upande wa Manchester waliofunga ni Rushford, Romelu Lukaku, Ferraine na Mkhitaryan.
Kwa matukio ya picha zaidi zipo karibu yako.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment