FAHAMU WANAWAKE WENYE HIPS NA SHIDA WANAZO KABILIANA NAZO KILA SIKU. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 6 July 2017

FAHAMU WANAWAKE WENYE HIPS NA SHIDA WANAZO KABILIANA NAZO KILA SIKU.

Wanawake wengi wenye hips ni wanawake ambao si kwamba wanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa kimaumbile, ni kweli wanamvuto wa pekee na humwagiwa sifa nyingi za urembo.
Lakini kwa upande mwingine wa shilingi ni matatizo matupu soma hapa sifa na matatizo wanayokutana nayo;
Sifa;
1. Huwatesa sana wakina baba wanapo kuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala mababa wengi hujawa na hisia kali za mahaba.
2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao hutembea kwa maringo hata daladala ikisimama mbali hawawezi kukimbia.
3. Hutongozwa na wanaume watano kwa siku hata wanaume wasiposema kitu  angalau huwa konyeza.
Matatizo;
4. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi kurubuniwa kwani hawezi kutongozwa na wanaume 2000 asimkubalie hata mmoja.
5. Hawana raha kwani wanapotembea hukudolewa macho sana si wanawake si wanaume.
6. Upata magonjwa sana hasa ya fungus kwani sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha kutokana na kubanana kwa mapaja na msuguano kila watembeapo.
7. Wanagharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kwa kuogopa msuguano hivyo lazima ughalimike usafiri au unatakiwa kumnunulia skin taiti kila mara kwa kuwa zina haribika muda mfupi sehemu ya mapaja.

No comments:

Post a Comment