Ney Wa Mitego anusurika ameahidi haya.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 1 March 2018

Ney Wa Mitego anusurika ameahidi haya..

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney Wa Mitego leo amenusurika kufungiwa kujihusisha na shughuli za mziki ambapo leo aliitwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Mh, Juliana Shonza na kuhojiwa na kukiri makosa na kuahidi kubadilika

No comments:

Post a Comment