Diamond anatarajia kununua mjengo mwingine nchi hii.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday, 15 January 2018

Diamond anatarajia kununua mjengo mwingine nchi hii..

Bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wameahidi mwaka 2018 tutarajie vitu vingi kutoka kwao, Diamond akiwa ameanza na kutuonyesha headquarters mpya za WCB .

Ukitaja nyumba anazomiliki Diamond Platnumz kiukwelihuwezi kuacha kutaja nyumba yake ya Afrika Kusini na Tanzania lakini inatajwa kuwa ana nyumba raidi ya moja na kwa sasa anafikiria kununua nyumba nyingine Kigali Rwanda.

Kupitia ukurasa wake wa instagram ameonyesha kutaka kuishi Kigali Rwanda tofauti na kuwa na nyumba Afrika Kusini na Tanzania Diamond amepost picha ya mji fulani na kuandika “natafuta nyumba ya kununa Kigali nyumba yangu ya baadae kwa ajili ya simbas !! familia yangu ya Rwanda mna mchango wowote??



No comments:

Post a Comment